Kukitandawazisha Kiswahili kupitia simu za kiganjani: tafakari kuhusu isimujamii

Mojawapo ya matokeo ya utandawazi ni kuwapo kwa simu za kiganjani na matumizi yake. Siku hizi nchini Tanzania mawasiliano ya simu yamekuwako kwa wingi kuliko ilivyokuwa tangu wakati wa uhuru hadi katikati ya miaka ya tisini. Lugha ya Kiswahili inayotumika katika simu hizi ni ya kiutandawazi na pengi...

Full description

Bibliographic Details
Main Author: Mutembei, Aldin
Other Authors: Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Taasisi ya Taaluma za Kiswahili
Format: Article
Language:swh
Published: Universitätsbibliothek Leipzig 2012
Subjects:
Online Access:http://nbn-resolving.de/urn:nbn:de:bsz:15-qucosa-98395
http://nbn-resolving.de/urn:nbn:de:bsz:15-qucosa-98395
http://www.qucosa.de/fileadmin/data/qucosa/documents/9839/18_11_Mutembei.pdf
id ndltd-DRESDEN-oai-qucosa.de-bsz-15-qucosa-98395
record_format oai_dc
spelling ndltd-DRESDEN-oai-qucosa.de-bsz-15-qucosa-983952013-01-07T20:06:32Z Kukitandawazisha Kiswahili kupitia simu za kiganjani: tafakari kuhusu isimujamii Mutembei, Aldin Swahili Soziolinguistik Globalisierung Handynutzung Sprachwechsel Swahili sociolinguistics globalization mobile usage code-mixing code-switching ddc:496 Swahili Soziolinguistik Globalisierung Handy Sprachwechsel Mojawapo ya matokeo ya utandawazi ni kuwapo kwa simu za kiganjani na matumizi yake. Siku hizi nchini Tanzania mawasiliano ya simu yamekuwako kwa wingi kuliko ilivyokuwa tangu wakati wa uhuru hadi katikati ya miaka ya tisini. Lugha ya Kiswahili inayotumika katika simu hizi ni ya kiutandawazi na pengine si rahisi kuiona nje ya wigo huu wa kiutandawazi ambao pia unajumuisha mawasiliano kwa barua pepe, na maongezi katika tovuti. Suala kubwa tunalolijadili katika makala hii ni changamoto zinazoletwa na lugha hii katika Isimujamii, hasa kuchanganya msimbo (lugha) na kubadili misimbo (lugha) (code mixing and code switching). Kwahiyo mwelekeo wa makala hii ni utafiti wa matumizi ya lugha hii tandawazi kwa kuangalia simu za viganjani na athari yake katika nadharia za isimujamii. Madhumuni yetu ni kuangalia matumizi ya lugha ya Kiswahili katika simu za viganjani. Universitätsbibliothek Leipzig Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Taasisi ya Taaluma za Kiswahili Universität Mainz, Insitut für Ethnologie und Afrikastudien 2012-12-03 doc-type:article application/pdf http://nbn-resolving.de/urn:nbn:de:bsz:15-qucosa-98395 urn:nbn:de:bsz:15-qucosa-98395 http://www.qucosa.de/fileadmin/data/qucosa/documents/9839/18_11_Mutembei.pdf Swahili Forum; 18(2011), S. 198-210 swh
collection NDLTD
language swh
format Article
sources NDLTD
topic Swahili
Soziolinguistik
Globalisierung
Handynutzung
Sprachwechsel
Swahili
sociolinguistics
globalization
mobile usage
code-mixing
code-switching
ddc:496
Swahili
Soziolinguistik
Globalisierung
Handy
Sprachwechsel
spellingShingle Swahili
Soziolinguistik
Globalisierung
Handynutzung
Sprachwechsel
Swahili
sociolinguistics
globalization
mobile usage
code-mixing
code-switching
ddc:496
Swahili
Soziolinguistik
Globalisierung
Handy
Sprachwechsel
Mutembei, Aldin
Kukitandawazisha Kiswahili kupitia simu za kiganjani: tafakari kuhusu isimujamii
description Mojawapo ya matokeo ya utandawazi ni kuwapo kwa simu za kiganjani na matumizi yake. Siku hizi nchini Tanzania mawasiliano ya simu yamekuwako kwa wingi kuliko ilivyokuwa tangu wakati wa uhuru hadi katikati ya miaka ya tisini. Lugha ya Kiswahili inayotumika katika simu hizi ni ya kiutandawazi na pengine si rahisi kuiona nje ya wigo huu wa kiutandawazi ambao pia unajumuisha mawasiliano kwa barua pepe, na maongezi katika tovuti. Suala kubwa tunalolijadili katika makala hii ni changamoto zinazoletwa na lugha hii katika Isimujamii, hasa kuchanganya msimbo (lugha) na kubadili misimbo (lugha) (code mixing and code switching). Kwahiyo mwelekeo wa makala hii ni utafiti wa matumizi ya lugha hii tandawazi kwa kuangalia simu za viganjani na athari yake katika nadharia za isimujamii. Madhumuni yetu ni kuangalia matumizi ya lugha ya Kiswahili katika simu za viganjani.
author2 Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Taasisi ya Taaluma za Kiswahili
author_facet Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Taasisi ya Taaluma za Kiswahili
Mutembei, Aldin
author Mutembei, Aldin
author_sort Mutembei, Aldin
title Kukitandawazisha Kiswahili kupitia simu za kiganjani: tafakari kuhusu isimujamii
title_short Kukitandawazisha Kiswahili kupitia simu za kiganjani: tafakari kuhusu isimujamii
title_full Kukitandawazisha Kiswahili kupitia simu za kiganjani: tafakari kuhusu isimujamii
title_fullStr Kukitandawazisha Kiswahili kupitia simu za kiganjani: tafakari kuhusu isimujamii
title_full_unstemmed Kukitandawazisha Kiswahili kupitia simu za kiganjani: tafakari kuhusu isimujamii
title_sort kukitandawazisha kiswahili kupitia simu za kiganjani: tafakari kuhusu isimujamii
publisher Universitätsbibliothek Leipzig
publishDate 2012
url http://nbn-resolving.de/urn:nbn:de:bsz:15-qucosa-98395
http://nbn-resolving.de/urn:nbn:de:bsz:15-qucosa-98395
http://www.qucosa.de/fileadmin/data/qucosa/documents/9839/18_11_Mutembei.pdf
work_keys_str_mv AT mutembeialdin kukitandawazishakiswahilikupitiasimuzakiganjanitafakarikuhusuisimujamii
_version_ 1716473261471039488