Kutoka lugha kienzo hadi lugha ya isimu: matatizo yanayotinga kiswahili kama lugha ya kufunzia isimu vyuoni vikuu nchini Kenya

Makala hii inachunguza hali ya somo la isimu ya lugha linalofundishwa katika nyingi ya idara za Kiswahili vyuoni vikuu nchini Kenya. Inaangazia matatizo yanayotinga kufana kwa somo hili. Inahitimiza kwa kupendekeza kwamba iwapo matokeo mazuri yatapatikana na wanafunzi wa somo hili, yafaa matatizo ya...

Full description

Bibliographic Details
Main Author: Mbatha Mathooko, Petronilla
Other Authors: Chuo Kikuu cha Kenyatta, Idara ya Kiswahili na lugha za Kiafrika
Format: Article
Language:swh
Published: Universitätsbibliothek Leipzig 2012
Subjects:
Online Access:http://nbn-resolving.de/urn:nbn:de:bsz:15-qucosa-100819
http://nbn-resolving.de/urn:nbn:de:bsz:15-qucosa-100819
http://www.qucosa.de/fileadmin/data/qucosa/documents/10081/9_10_mathooko.pdf