Gabriel Ruhumbika: Janga sugu la wazawa (2002). Uchambuzi na Uhakiki

Gabriel Ruhumbika aliyezaliwa mwaka 1938 kisiwani Ukerewe ni miongoni mwa wanafasihi waliokubuhu katika fani ya riwaya za Kiswahili. Sasa ametuletea riwaya hii ya aina yake Janga sugu la wazawa (2002). Kwa jumla, riwaya hii linaakisi hali halisi ya mfumo wa maisha ya Wakerewe kwa kuwalinganisha na j...

Full description

Bibliographic Details
Main Author: Mbonde, John P.
Other Authors: Universität Mainz, Insitut für Ethnologie und Afrikastudien
Format: Article
Language:swh
Published: Universitätsbibliothek Leipzig 2012
Subjects:
Online Access:http://nbn-resolving.de/urn:nbn:de:bsz:15-qucosa-98271
http://nbn-resolving.de/urn:nbn:de:bsz:15-qucosa-98271
http://www.qucosa.de/fileadmin/data/qucosa/documents/9827/12_06_Mbonde.pdf