Tamaduni na fasihi za kienyeji kwa lugha za kigeni
Uhusiano baina ya lugha na utamaduni, mila na mirathi ya jamii kwa jumla huenda ukafahamika angalau kwa wepesi, iwapo tutazingatia mambo mawili: kwanza, lugha na matumizi yake ni chombo cha kujieleleza thamani tafauti zilizofungamana na maumbile ya kimila, fikira, maarifa, imani, adabu na utamaduni...
Main Author: | |
---|---|
Other Authors: | |
Format: | Article |
Language: | swh |
Published: |
Universitätsbibliothek Leipzig
2012
|
Subjects: | |
Online Access: | http://nbn-resolving.de/urn:nbn:de:bsz:15-qucosa-98624 http://nbn-resolving.de/urn:nbn:de:bsz:15-qucosa-98624 http://www.qucosa.de/fileadmin/data/qucosa/documents/9862/3_06_Shatry.pdf |